HAYA MAY, 2015

Mpaka sasa wanachama watatu kutoka Chama Cha Mapinduzi, wametangaza rasmi kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kugombania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
- Je, Unadhani kati ya waliotangaza nia mpaka sasa kuna ambaye ana uwezo wa kupokea kijiti kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete?


I

Comments

UNITEC COMPUTER ACCESS