LOWASA ATANGAZA NIA ARUSHA TAREHE 30-05-2015

Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa WanaCCM, wabunge, wanasiasa, viongozi mbali mbali, wazee wetu wakiongozwa na Kingunge Ngombale Mwiru pamoja na wananchi kwa ujumla kwa kujitokeza kwa wingi leo katika kushirikiana nami katika kuianza Safari Yetu hii ya Matumaini. Katika hotuba yangu leo nimezungumzia hali ya nchi na matarajio ya watanzania pamoja na aina ya uongozi unaohitajika kuleta mabadiliko hayo. Nimewaomba watanzania wenzangu tuanze pamoja mchakamchaka wa maendeleo kwani peke yangu sitaweza Ila kwa maamuzi magumu na ushirikiano inawezekana kuanza safari ya matumaini mapya.


Comments

UNITEC COMPUTER ACCESS