MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA

Habari rasmi toka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya klabu hiyo .
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...

6 months ago

Michuzi

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Kocha mkuu wa zamani wa timu ya Taifa, taifa Stars Marcio Maximo  amesaini mkataba  wa kuwa kocha mkuu na timu ya Yanga kwa muda wa miaka miwili. makubaliano hayo yamefikiwa jana, wakala  anaye mwakilisha Ally Mleh wa kampuni ya Manyara Sports Management amethibitisha hilo.
"Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya  Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo  atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano   hayo...

3 months ago

Tanzania Daima

Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

6 months ago

GPL

Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo. John Joseph na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa ujio wa kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo, umezuia ajira ya makocha 45 walioomba nafasi hiyo kwenye Klabu ya Yanga, lakini pia tayari ameshakabidhiwa majukumu ya kufanya usajili. Maximo raia wa Brazil, yupo katika hatua za mwisho za kumalizana na klabu hiyo ya Jangwani kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kuusaini mkataba...

(Yesterday)

Mtanzania

Maximo basi tena Yanga

Kocha-wa-Timu-ya-Club-ya-Yanga-Maxio-MaximoNA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...

4 months ago

Tanzania Daima

Marcio Maximo aomba mechi mbili kuwavaa Azam FC

MKUU wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, ameomba kwa uongozi wa klabu hiyo mechi mbili za kirafiki siku ya Jumatano ijayo na Jumapili kabla ya...

1 month ago

Mwananchi

Kocha Maximo awagawa Chambua,Lunyamila

Kiwango duni cha uchezaji Yanga kimewatia kiwewe mashabiki, wanachama na baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu hiyo wanaodai kocha Marcio Maximo ndiye chanzo lazima awajibiashwe.

5 months ago

Mwananchi

Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema mchezaji yeyote mwenye ubinafsi hana nafasi kwenye kikosi chake, huku akishindwa kujua yupi wa kumuacha kati ya wachezaji wawili wa kimataifa.

Comments

UNITEC COMPUTER ACCESS