UNITEC COMPUTER ACCESS : Acer Laptops
UNITEC COMPUTER ACCESS : Acer Laptops: KWA IMMA MADISHI KARIBU JIPATIE ~~~COMPUTER BEI POA ~~~SIMU BEI POA

Ujumbe kutoka kwa mdau Kitova:-
Ninapenda kuwajulisha, kwa watakaohitaji, kuhusu Southern Highlands School iliyopo mji wa Mafinga mkoani Iringa, Tanzania. Hii ni shule ya msingi ya bweni inayotumia kiingereza, yaani english medium boarding primary school, na ambayo tangu kuanzishwa kwake haijawahi kufelisha mtoto.
Hivi sasa Southern Highlands School inapokea wanafunzi kwa madarasa karibia yote.
Kwa walio USA, ukipenda kupata habari zaidi kuhusu hii shule na labda ungependa
kumpeleka mtoto wako au kumfadhili ndugu yako yeyote hapo SHS, basi unaweza kuwasiliana na mkurugenzi wa shule hiyo, ambaye yupo hapa USA kwa muda mfupi, kupitia namba 214-604-1726.
Ahsante.
Southern Highlands School - Mafinga, Iringa

Comments
Post a Comment